#GunaniDigitalizeItChallenge

UNA CHANGAMOTO?
TUI-DIGITALIZE.

Una changamoto kwenye biashara, kampuni au shughuli zako?
Tueleze tatizo unalopitia na ongependa technology ikusaidieje. Gunani inaweza kubuni na kutengeneza Digital Solution kwa ajili yako.

Offer ya BURE imekamilika. Bado unaweza kututumia mradi wako — tutawasiliana nawe kwa ajili ya bei na majadiliano zaidi.

Challenge

Business problem

“Ninapata shida kufuatilia stock, mauzo na madeni ya wateja kwa mikono.”

Before Manual
After Digital System
🔥 MUDA WA KUTUMA CHANGAMOTO UNAENDA!

Changamoto yako inaweza kuwa ile tunayokuwa tunaitafuta. Usiache nafasi hii ipite.

00 DAYS
00 HOURS
00 MIN
00 SEC
How It Works

Jinsi challenge yako inavyotakiwa kuingia

01

TUAMBIE CHANGAMOTO

02

TUAMBIE UNGEPENDA SOLUTION IFANYE NINI

03

GUNANI INACHAMBUA

04

CHALLENGE ACCEPTED

05

TUNABUNI SOLUTION

06

TUNATENGENEZA

07

TUNATEST

08

WE DIGITALIZE IT 🚀

Trust

Huhitaji kuwa Technology Expert.

Tueleze biashara yako, changamoto unayopitia na ungependa nini kibadilike. Timu ya Gunani itasaidia kutafsiri mahitaji hayo kuwa Digital Solution inayofaa.

Kuwasilisha changamoto yako si uhakikisho wa kuchaguliwa; tutachunguza na kuamua kwa makubaliano ya kitaalamu.

Examples

CHANGAMOTO YAKO INAWEZA KUWA KAMA…

“Napoteza muda kuandika taarifa kwa mkono.”
“Sijui stock imebaki kiasi gani.”
“Wateja wangu hawawezi ku-book huduma online.”
“Ninapata shida kufuatilia malipo.”
“Nahitaji kufuatilia orders zangu vizuri.”
“Nina taarifa nyingi lakini kupata report ni ngumu.”

Au inaweza kuwa tofauti kabisa.

TUELEZE YAKO

Una changamoto ambayo technology inaweza kusaidia kutatua?

Tuma changamoto yako kupitia #GunaniDigitalizeItChallenge.